Maagizo ya JPM kutokana na kuongezeka kwa idadi ya vifo ajali ya MV NYERERE
ameagiza Bendera ya Taifa kupepea kwa nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia kesho Septemba 22 kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea jana mkoani Mwanza.
Hadi sasa watu waliothibitika kufariki ni 131.
No comments: