Habari njema kutoka Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Simba 30.9.2018
Habari njema kutoka Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Simba 30.9.2018
Baada ya jana Wanayanga kuingiwa na hofu kutokana na kukosekana kwa nahodha na beki kisiki wa Kikosi cha Mabingwa hao wa Kihistoria
Lakini habari njema Ikufikie kutoka kwenye kikosi cha Yanga ni kwamba Nahodha huyo wa Yanga Kelvin Yondani leo amefanya mazoezi na wenzake
Na meneja wa Yanga amefunguka kuwa Yondani alikuwa anakaribia kushikwa na Malaria lakini madaktari walimuwahi na kwasasa yuko fiti.
No comments: