Azam Media yampa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo majukumu haya

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo ameishukuru Azam Media kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuwa Mlezi wa SZIFF2019 akisema “Nimelipokea hili kwa mikono miwili”. Pia amesema yeye akiwa sehemu ya serikali, ameamua kutengeneza filamu ambayo imetengenezewa wilayani Kisarawe na itatoka hivi karibuni akiwa na imani kuwa itaoneshwa kwenywe channel ya sinemazetu103
No comments: