ALICHOSEMA KOCHA WA MBAO AMRI SAID BAADA YA KUICHAPA SIMBA
"Nimeifatilia Simba kama miezi miwili iliyopita kupitia kombe la FA na nikaangalia mechi moja waliyocheza juzi Mtwara lakini nilijua kabisa Simba ni wazuri kimchezo."
::
"Nawapongeza wachezaji wangu kwa kushika maelekezo na kila mmoja kufuata majukumu niliyowapa."
::
"Simba wanawachezaji wengi wa nje hadi kocha pia ni wa nje, mimi nina wachezaji wa kitanzania na wanafanya kazi leo naongoza ligi, hii ni hamasa kwa wachezaji."
No comments: